UCHUMBA
MAS’ALA YA KWANZA : MCHUMBA KUMUONA ANAEMCHUMBIA
Amesema sheikh muhamad bin saalih al uthaymeen حفظه الله katika kadhia hii ya kwamba Inafaa kwa mchumba kumuona anaemchumbia Kwa haja maalum ya kumfaham akishamuona na akaridhika kumuoa-haina haja ya kurudia rudia kumuangalia kwa sababu bado hajamuoa
Soma zaidiTANBIHI:
-Na hii tofauti kabisa na mazoea tulionayo mtu akichumbia ndo inakuwa sasa kana kwamba kaoa,kila muda anataka muona,wengine mapicha kutumiana,mara kugusana gusana ni mambo ambayo hayafai watu wafanya kwa kigezo uchumba/hayapo hayo.-Wengine utaona wanaenda beach na hao wachumba,mara mwanamke anamtembelea mwanaume kwao au alikopanga,hakika tumche ALLAH ikhwa na kufata mwenendo wa MTUME صلى الله عليه وسلم.