UCHUMBA

Q# 102
Limechapishwa : 0000-00-00
Imesomwa:2

MAS’ALA YA KWANZA : MCHUMBA KUMUONA ANAEMCHUMBIA 

Amesema sheikh muhamad bin saalih al uthaymeen حفظه الله katika kadhia hii ya kwamba Inafaa kwa mchumba kumuona anaemchumbia Kwa haja maalum ya kumfaham akishamuona na akaridhika kumuoa-haina haja ya kurudia rudia kumuangalia kwa sababu bado hajamuoa

TANBIHI:
-Na  hii tofauti kabisa na mazoea tulionayo mtu akichumbia ndo inakuwa sasa kana kwamba kaoa,kila muda anataka muona,wengine mapicha kutumiana,mara kugusana gusana ni mambo ambayo hayafai watu wafanya kwa kigezo uchumba/hayapo hayo.
-Wengine utaona wanaenda beach na hao wachumba,mara mwanamke anamtembelea mwanaume kwao au alikopanga,hakika tumche ALLAH ikhwa na kufata mwenendo wa MTUME صلى الله عليه وسلم.

SEHEMU YA KWANZA (01)

أحكام الخطبة كما فسرها الأئمة

HUKMU ZA UCHUMBA KAMA ZILIVO TAFSIRIWA NA MAIMAM   [  salaf swaaleh  ]

الحمد لله رب العالمين،وصلى الله وسلم على نبينا محمد وعلى آله وصحبه،ومن تبعهم بإحسان إلى يوم الدين.  أما بعد

Makala hii fupi tumejaribu kutafsiri manano ya wanachuoni kuhusu kadhia za uchumba, kuna shubha nyingi zinafanywa na watu bila kujua au kwa kuteleza hivo ikawa ni lazima muoaji akajua mipaka ya kisheria inayoambatana na suala la UCHUMBA . Tunamuomba ALLAH atujaalie ikhalaasw katika matendo yetu na kumfuata mtume صلى الله عليه وسلم

MAS’ALA YA KWANZA : MCHUMBA KUMUONA ANAEMCHUMBIA 

Amesema sheikh muhamad bin saalih al uthaymeen حفظه الله katika kadhia hii ya kwamba Inafaa kwa mchumba kumuona anaemchumbia Kwa haja maalum ya kumfaham akishamuona na akaridhika kumuoa-haina haja ya kurudia rudia kumuangalia kwa sababu bado hajamuoa

TANBIHI:
-Na  hii tofauti kabisa na mazoea tulionayo mtu akichumbia ndo inakuwa sasa kana kwamba kaoa,kila muda anataka muona,wengine mapicha kutumiana,mara kugusana gusana ni mambo ambayo hayafai watu wafanya kwa kigezo uchumba/hayapo hayo.
-Wengine utaona wanaenda beach na hao wachumba,mara mwanamke anamtembelea mwanaume kwao au alikopanga,hakika tumche ALLAH ikhwa na kufata mwenendo wa MTUME صلى الله عليه وسلم.
 
Maelezo:

Soma zaidi